mcc

Friday, May 15, 2015

SAKATA LA NKURUNZINZA

Aljazeera imesema imepata taarifa kuwa kuna uwezekano Jeshi limemwodoa madarakani Rais wa Burundi lakini taarifa zaidi zitafuata kutokana na serikali kupinga. Hebu tuwe alert kuna uwezekano wa mabadiliko makubwa yanakuja.

Mshauri wa habari wa rais(president media adviser amekanusha ripoti kuwa rais amepinduliwa, jengo la television ya taifa limezungukwa na wanajeshi. Major general Godefroid Niyombare amesema amemuondoa rais kwenye madaraka yake.


 Senior Burundi army officer says dismisses President Nkurunziza
BUJUMBURA May 13 (Reuters) - A prominent Burundi army officer said on Wednesday he was dismissing President Pierre Nkurunziza, whose bid for a third term in office sparked more than two weeks of demonstrations by protesters who said he was violating the constitution.

The statement was immediately dismissed as "a joke" by the president's media adviser.

Major General Godefroid Niyombare, who was fired by Nkurunziza as intelligence chief in February, was speaking at a military barracks to reporters. He was surrounded by several other senior officers in the army and police.

"Regarding President Nkurunziza's arrogance and defiance of the international community which advised him to respect the constitution and Arusha peace agreement, the committee for the establishment of the national concord decide: President Nkurunziza is dismissed, his government is dismissed too," he said.

Send Off Party Ya Miss Vicky

                        Ilifanyika tar 18/4/2015

             Katika Ukumbi wa mwenge Social Hall

           


Harusi ya Mr and Mrs Manyiri

Iliyofungwa tar.12/4/2015

katika Kanisa la K.K.K.T Kibada