mcc
Friday, December 14, 2012
Tafrija ya Harusi Mr & Mrs Francis katika ukumbi Pamo Beach tarehe 1 Desemba 2012.
Mc Christina akisherehesha , kama kawa kama dawa!!!! UTAMTAKAAA......, WAPI KULA KEKI !!!!!!
Mr & Mrs wakishow LOVE
Mr & Mrs wakishow LOVE
Friday, September 21, 2012
Monday, September 3, 2012
Harusi ya Mr & Mrs Ezekiel Marco - 19 /8/2012- Mwenge Social HALL
Kawaida ya Mc Mzuri na Makini na kazi yake ni Lazima awahi ukumbini na hii ni moja ya sifa alizonazo Mc Christina , hapa akiwa anajiandaa kusimamia sherehe ya Ndg Ezekiel Marco na Fauzia Stiven iliyofanyika ukumbi wa Mwenge Social Hall
Mr & Mrs Ezekiel M . Marco, Duu kuoa rahaaaaaaaaa!!!!! asikwambie mtu, Cheki Bwana harusi Pozi lake kama anataka Kupaa Vile !!!
Mr & Mrs Ezekiel M . Marco, Duu kuoa rahaaaaaaaaa!!!!! asikwambie mtu, Cheki Bwana harusi Pozi lake kama anataka Kupaa Vile !!!
Subscribe to:
Posts (Atom)